Header Ads

Dayna nyange asema kwa maisha ya usiri ni kitu cha kawaida


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’, amesema kwake maisha ya usiri ni kitu cha kawaida, ndio maana hababaishwi na mitandao ya kijamii.
Akizungumza  jijini Dar es Salaam hivi karibuni, mwanadada huyo alisema mitandao ya kijamii imetengenezwa kurahisisha maisha ya watumiaji.
“Unajua mitandao ya kijamii imetengenezwa kurahisisha maisha, mtumiaji akiwa na akili atafanikiwa sana, lakini ikitumiwa vibaya madhara yake ni makubwa zaidi,” alisema Dayna.
Alisema kwa upande wake, haipi nafasi  sana mitandao ya kijamii kuzungumzia maisha yake, ndiyo maana hata masuala ya mahusiano na familia yake hayajulikani ovyo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.