Header Ads

EAC yakanusha hili kuhusu Rais Mstaafu Benjamin Mkapa


Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) imekunusha taarifa zilizodai kuwa mshuluhishi wa mgogoro wa Burudi, Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa amelalamika kukosa ushirikiano wakati alipokuwa anafanya kazi ya usuluhishi wa mgogoro huo.

Naibu Katibu wa EAC, Eng. Steven Mlote amesema ni uzushi na zinapaswa kupuuzwa kwani zinatolewa na watu wasioitakia mema Jumuiya hiyo.

Pia ameongeza kuwa Mh. Mkapa alishamaliza kazi yake na kuikabidhi kwa wakuu wa nchi wanachama ambao licha ya kumshukuru kwa kazi nzuri aliyoifanya, pia walipongeza ushirikiano mkubwa uliotolewa na sekretarieti ya Jumuiya hiyo wakati wote na mazungumzo. 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.