Header Ads

Hili ndilo pendekezo la serikali

Serikali  imependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye pombe kali (spirit) inayotengenezwa kwa kutumia zabibu zinazozalishwa nchini Tanzania.

Serikali imewasilisha marekebisho ya Muswada wa Sheria Mbalimbali namba 2 wa mwaka 2019, ambapo chini Sheria ya Ushuru wa Bidhaa  imependekeza irekebishwe ili kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa ya pombe kali inayotengenezwa nchini kwa kutumia zabibu zinazozalishwa nchini.

Mwanasheria mkuu wa serikali Prof. Adeladus Kilangi akisoma muswada huo bungeni amesema unalenga kushusha Ushuru wa Vinywaji vya spiriti vinavotengenezwa na zabibu, kodi ya majengo na kodi ya zuio la madiniS

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.