Header Ads

Mafuriko yaharibu vibaya nyumba 250

Mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Townsville nchini Austaralia yameharibu vibaya nyumba 250.

Meya wa jimbo la Queensland nchini Australia Annastacia Palaszczuk amefahamisha kwamba mafuriko yaliyoikumba sehemu ya kusini mashariki mwa nchi hiyo yameharibu zaidi ya makazi 250 katika eneo hilo.

Palaszczuk alisema kwamba eneo lililoathirika zaidi na mafuriko hayo ni Townsville. Viongozi wanaendelea na juhudi za kuwatafutia wakazi wa eneo hilo maeneo ya kukaa.

Zaidi ya wakazi laki moja wa eneo hilo walihamishwa siku ya jumatatu kutokana na mafuriko hayo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.