Header Ads

Mmiliki wa mbwa atakayebweka atalipa faini

Katika kijiji cha Feuquieres  kaskazini mwa nchi Ufaransa imeanzishwa sheria inayozuia mbwa kubweka.

Kuanzia siku ya Jumatatu na kuendelea mbwa yeyote atakayebweka mfufululizo na kwa sauti ya juu. Mmiliki wa mbwa huyo atatozwa faini ya Euro 68.

Meya wa mji huo Jean-Pierre Estienne amesema lengo la marufuku hiyo siyo kupiga marufuku mbwa, bali kuwafanya wenye mbwa wao wawapatie elimu mbwa hao, vilevile aliongeza kwamba hawata toza adhabu hiyo kwa mbwa kubweka mara moja tu.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.