Header Ads

Picha: Waziri Ummy apanda miti 470 ofisi ya wizara Dodoma


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu amepanda miti katika ofisi za wizara hiyo eneo la Mtumba, Dodoma.

Kwa siku ya wamepanda jumla ya miti 470 ikiwemo miti ya kivuli, miti ya matunda 320, miti ya mbao na miti ya mapambo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.