Header Ads

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kukutana na waandamanaji

Waanadamanaji wa vizibao vya njano wanaopinga  kupanda kwa bei za bidhaa mahitaji  na utawala wa rais Macron wanataraji kukutana na rais wa zamani wa Marekani Barack Obama.

Waandamanaji  wa vizibao vya njano katika waraka wao waliomtumia  Barack Obama  amesema kuwa wanaimani kuwa mtazamo wake  unaweza kuwa na umuhimu.

Kundi la  waandamanaji wa vizibao vya njano ambao majina yao yamewekwa katika orodha ya uchaguzi Ulaya yamepelekwa na Thierry Paul Vadette wameomba kuonana na rais wa zamani wa Marekani Barack Obama.

Taarifa hiyo imetolewa na jarida la L e Figaro la Ufaransa.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.