Header Ads

Dkt cheni -Soko tu la filamu halijakaa vizuri, likikaa vizuri tunarudi kwenye game


Muigizaji na MC, Dr. Cheni amefunguka kuegemea sana upande wa U - Mc nakutoonekana sana kwenye movie.

Cheni amesema kuwa  soko la filamu halijakaa vizuri ndio maana amejikita kwenye U- Mc.

"Soko tu la filamu halijakaa vizuri, likikaa vizuri tunarudi kwenye game, Soko sisi wenyewe tuliriharibu kwasababu tuna rahisisha sana mambo ila tumeshajifunza" Dk. Cheni ameiambia Wasafi Tv.

Kwasasa Dr. Cheni amejikita sana kwenye kuwa MC na kuonekana kulisahau soko la filamu.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.