Header Ads

Ethiopia, Eritrea na Sudan Kusini zakubaliana kushirikiana

Ethiopia, Eritrea na Sudan  kusini zakubaliana kushirikiana  katika nyanja ya uchumi.

Rais wa Eritrea Isaias Afewerki na waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, walijielekeza nchini Sudan  kusini katika mkutano baina ya mataifa hayo matatu.

Mkutano huo uliofanyika mji wa mkuu Juba chini ya rais SalvaKiir Mayardit ulikuwa na lengo la kuzungumzia masuala ya kanda hiyo.

Mwisho wa mkutano huo ilitolewa taarifa kwamba viongozi hao wameafikiana juu ya ushirikiano wa kiuchumi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.