Header Ads

Gari laacha njia na kugonga nyumba


Gari aina ya FAW lilokuwa likitokea mkoa wa Songwe kuelekea Dar es Salaam limeacha njia na
kugonga uzio na nyumba inayotumika kwa huduma ya vipimo vya magonjwa mbalimbali ya binadamu na kusababisha majeha kwa mtu mmoja.

Tuki hilo limetokea jana majira ya saa nane mchana huko maeneo ya Inyala, Wilaya ya
Kipolisi Mbalizi, Mkoa wa Mbeya katika barabara ya Mbeya/Iringa.
Taarifa ya Jeshi la Polisi mkoani humo imeeleza kuwa majeruhi wote wamepata majeraha ya kawaida mwilini na wamelazwa Kituo cha Afya Inyala. Chanzo cha ajali ni ubovu wa gari ambalo lilikuwa imebeba mzigo aina ya shaba

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.