Header Ads

Huu ndio ujumbe alioundika Rich Mavoko kupitia ukurasa wake Instagram

Sijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha.....Mwimbaji Rich Mavoko ameandika ujumbe wa kutatanisha kupitia page yake ya Instagram unaosema:

Ni siku ya Mwisho ya Maisha Yangu Yaliyobaki"


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.