Header Ads

Ifahamu Historia fupi ya jina AS Vita


Klabu hii ya  AS Vita ilianzishwa mwaka 1936, chini ya uongozi wa Honore Essabe kwa jina la Renaissance kule Rue Usoke Kinshasa.

Baadae mwaka 1939 jina hilo likabadilisha na kuitwa Diables Rouges. Ilipofika mwaka 1942 wakabilisha tena na kujiita Victoria Club.

Hatimaye mwaka 1972 mwaka mmoja kabla ya wao kutwaa taji lao la kwanza la klabu bingwa wakabadilishwa jina na kuitwa AS Vita Club

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.