Header Ads

Ommy Dimpoz Amtupia Dongo Steve Nyerere "Sikukuonyesha Alikiba Alivyonipandisha Stejini Muscat Kutesti Voko Kumbe Ipo Kweli"

Ommy Dimpoz Amtupia Dongo Steve Nyerere "Sikukuonyesha Alikiba Alivyonipandisha Stejini Muscat Kutesti Voko Kumbe Ipo Kweli"
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo alimaarufu Ommy Dimpoz ameamua kupost Show yake ya kwanza tangu aanze kusumbuliwa na matatizo yake ya Koo ambayo yalipelekea mpaja kufanyiwa Operesheni.
Ikumbukwe Ommy Dimpoz alikuwa nje ya muziki kwa zaidi ya miezi 7 kutokana na kusumbuliwa na matatizo ya Koo la chakula na baada ya kupona aliamua kuachia wimbo wa kwanza ambao unaitwa “Ni wewe”
Lakini pia alifuatana na Ally Kiba mpaka Muscat katika show ya Alikiba na alipewa nafasi ya Kiba kuonyesha mashabiki zake kuwa bado yuko fiti. Katika post hiyo ameandika maneno akimtania Steve Nyerere ambaye alikaririwa akisema “Ommy hataimba tena”

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.