Header Ads

Picha: Ajali ya Gari kugongana na Treni mkoani Tanga


Mtu mmoja amefariki na wanafunzi 19 kati ya thelathini wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda kucheza mpira kuligonga Treni eneo la Gofu jijini Tanga. Kamanda wa polisi mkoani Tanga SACP Edward Bukombe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.