Header Ads

PICHA: IGP Sirro awapongeza askari walioshiriki mashindano ya michezo


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amekutana na kuwapongeza askari walioshiriki katika mashindano ya michezo ya majeshi (BAMMATA).
IGP alikutana na wanamichezo hao Makao Makuu ya Polisi kuwapongeza na kuwatia moyo ili wafanye vizuru zaidi katika michezo ijayo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.