Header Ads

Picha: Kisa cha Mwanamke kujifungua kwenye bustani


Raia wa Kenya wameshtushwa baada ya mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Rebecca Otieno mwenye umri wa miaka 20 kujifungua bila msaada wowote katikati ya bustani ya Uhuru Park leo. 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.