Header Ads

Picha: Makamu wa Rais alivyokutana na kufanya mazungumzo na Rais Museveni


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Africa Now Summit 2019 katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort mjini Kampala, Uganda.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.