Header Ads

PICHA: Waziri mwakyembe akiwa mkoani singida kwaajili ya kutembele maeneo ya historia


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika ziara ya kikazi ametembelea Mkoani Singida kwaajili ya kutembelea maeneo ya historia ya ukombozi wa Bara la Afrika ikiwa ni mikakati ya kuhamasisha viongozi na wananchi kutunza, kuhifadhi na kuyaendeleza maeneo hayo kwa matumizi ya kizazi cha sasa na kijacho.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.