Header Ads

Polisi mbeya yakamata miche 39 ya Bhangi


Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limekamata  miche 30 ya bhangi ikiwa imelimwa kwenye shamba la mahindi lenye ukubwa wa robo heka mali ya Ndushi Shija.

Tukio hilo limetokea Machi 1o mwaka huu majira ya saa moja asubuhi huko eneo la Mapanga, Kijiji cha Stamiko, Kata ya Mkola, Tarafa ya Kiwanja, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

Mtuhumiwa alikimbia na juhudi za kumtafuta zinaendelea lakini Gumba Zala (32) mkazi wa mapanga-stamiko ambaye ni mke wa mtuhumiwa na Luhende Shija (18) ambaye ni mtoto wa mtuhumiwa wamekamatwa kwa mahojiano.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.