Header Ads

Rais anyimwa viza kuingia marekani


Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Caf, Ahmad Ahmad amenyimwa viza ya kuingia Marekani alikotakiwa kuhudhuria kikao cha Shirikisho la Soka Duniani FIFA.

Hata hivyo mpaka sasa bado hijawekwa wazi sababu za Rais huyo kunyimwa viza hiyo ya kuingia Marekani.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.