Header Ads

Serengeti Boys yaipa kipigo Australia

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo uliochezwa leo dhidi ya Australia U17 katika mchezo wa Pili wa mashindano ya UEFA ASSIST yanayofanyika Uturuki,mchezo huo uliomalizika kwa Serengeti Boys kupata ushindi wa goli 3-2.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.