Header Ads

Shughuli za uokoaji kwenye jengo la ghorofa zasitishwa rasmi


Shughuli za uokoaji kwenye jengo la ghorofa tatu lililoanguka jana na kuua watoto wanane kabla ya miili mingine mitatu kupatikana na kufikia 11 zimesitishwa rasmi na mpaka sasa watu 50 wameokolewa kwenye ajali hiyo.

Taarifa zinadai kuwa jengo hilo lililokuwa kwenye jiji la Lagos, lilishawekwa alama ya kuvunjwa na mamlaka zinazohusika tangu mwaka 2017.

Shule hiyo ilikuwa kwenye ghorofa ya juu ya jengo la ghorofa tatu lililokuwa kwenye jiji la Lagos huku ikiwa na wanafunzi zaidi ya 100.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.