Header Ads

Simba yaipa kichapo AS Vita, yashinda 2-1


Timu ya Simba FC imeibuka na ushindi wa bao mbili kwa moja dhidi ya AS Vita ya DRC katika mchezo uliochezwa leo Machi 16.

Hatua hiyo imewapa nafasi Simba kufuzu hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na kushika nafasi ya pili kwenye Kundi ikitanguliwa na Al Ahly.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.