Header Ads

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa mipango wa IPP Limited afariki Dunia


Aliyekuwa mkurugenzi wa mipango wa IPP Limited Bw.Francis John Zangira amefariki dunia leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Bw.Francis Zangira ambaye aliajiriwa na IPP tarehe 15 machi mwaka 1994 amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isebi, nyumba namba 21 Mbezi,Tangi Bovu, Dar es Salaam

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.