Header Ads

Uwoya afunguika haya kuhusu kayumba

Uwoya Afungukia Madai ya Kutoka Kayumba
MREMBO kutoka Bongo Movies, Irene Uwoya amezifu-ngukia tetesi na mino-ng’ono ya watu mbali-mbali kuwa anatoka kima-penzi na mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma na kusema hazina ukweli wowote.

 Akizungumza na Showbiz Xtra, Uwoya alisema mash-abiki wake wawe wapole, kama wanataka kumjua shemeji yao wata-mjua lakini si Kayu-mba.

“Nina-chojua ni kwamba watu wengi wako ‘bize’ kujua mimi niko na nani hakuna mtu ambaye watamuacha kumtaja kwenye listi zao kuwa natoka naye kimapenzi hivyo siwasha-ngai na kingine siwezi kutoka na Kayumba wajue hilo,” alisema Kayumba. 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.