Header Ads

VIDEO: ALICHOKIONGEA NAIBU WAZIRI WA AFYA KUHUSU MATUMIZI MABAYA YA DAWA


DODOMA: Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa miongoni mwa vitu vinavyochangia ugonjwa wa figo ni matumizi ya dawa za kutuliza maumivu mara kwa mara. Akizungumza leo na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya Figo Duniani ambayo hufanyika kila mwaka machi 14 Dk huyo amesema kuwa Watanzania wengi wamekua wakitumia dawa kiholela bila ya kupimana kufuata ushauri wa Daktari hasa wanapohisi maumivu ya kichwa na kuongeza kwa kusema kuwa ugonjwa wa figo waendelea kuongezeka nchini.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.