Header Ads

VIDEO: UJUMBE MZITO WA MWISHO WA RUBANI KWA MAMA YAKE

jumbe wa mwisho wa rubani kwa mama yake

Narudi nyumbani Nairobi, nimeshau simu yangu hotelini, tutaongea zaidi nikifika huko”.

Haya ni maneno ya mwisho ya Yared Tessema Getachew, rubani kijana aliyekuwa akirusha ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, iliyopata ajali mwishoni mwa wiki iliyopita na kuua watu 157 waliokuwemo


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.