Header Ads

VIDEO:WAZIRI WA KILIMO ATISHIA KUUFUTA WAKALA HUU''KWA HILI NITAWAONDOA HAIWEZEKANI''.DODOMA: Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametishia kuufuta Wakala wa Hifadhi ya Chakula nchini(NFRA), kama hautakuwa na uwezo wa kununua tani laki tano za mazao kwa wakulima. Hasunga ameyasema hao leo Jijini Dodoma wakati akizindua mashine maalum ya kusafisha mahindi iliyotolewa na Mpango wa Chakula Duniani(WFP) kwa NFRA.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.