Header Ads

Watoto nane wafariki Dunia baada ya ghorofa kuanguka


Watoto wanane wamethibitika kufariki dunia baada ya jengo la ghorofa ambalo shule yao ilikuwa imo kwenye hilo ghorofa kuanguka nchini Nigeria.

Shule hiyo ilikuwa kwenye ghorofa ya juu ya jengo la ghorofa tatu lililokuwa kwenye jiji la Lagos huku ikiwa na wanafunzi zaidi ya 100.

Shughuli za uokoaji zinaendelea kwenye eneo hilo huku wanafunzi zaidi wakihofiwa kunasa kwenye kifusi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.