Header Ads

Zijue faida 10 za tunda la Stafeli na majani yake

 Stafeli ni tunda lenye faida lukuki kwa afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni faida muhimu za mti wa Mstafeli.
1.Juisi yake hutibu kansa kwa haraka na kwa ufanisi zaidi. Ina nguvu mara elfu kumi (10,000) zaidi ya tiba ya mionzi katika kuzuia seli za kansa.

2. Hutumika kutibu maumivu ya nyuma ya mgongo ( low back pain )

3.Majani ya mti wa mstafeli hutumika kutibu maumivu ya mishipa. Yasage majani yake mpaka yalainike kabisa, kasha paka taratibu eneo la mishipa lililo na maumivu mara mbili kwa siku.

4.Mstafeli hutumika kutibu maumivu ya gout.

5. Hurekebisha usawa wa kiasi cha damu na sukari mwilini.

6. Huongeza kinga ya mwilini.

7. Hudhibiti ukuaji wa bacteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe.

8. Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa.

9. Hutibu jipu na uvimbe.

10. Hukimbiza chawa.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.