Header Ads

Balozi Mstaafu wa Tanzania DRC awatakia ushindi klabu ya simba


Wakati wachezaji wa Simba wakisubiri muda wao kufika ili kupambana mpinzani wake Mazembe katika uwanja utakaopigwa mchezo huo.

Balozi wa Tanzania Nchini DR Congo Luteni Jenerali mstaafu Paul Mella amfanikiwa kukutana na wachezaji wa Simba leo  ambapo amewataka wachezaji hao kufanya vizuri katika mchezo wa leo ili kuleta ushindi katika Taifa letu hata na klabu ya Simba pia.

Wacheza hao wa Simba wameonesha kuwa na muhimili mkubwa katika mchezo wa leo na kwamba kamwe hataweza kuliangusha Taifa lao pamoja na klabu hio.Hata hivyo kwa mujibu wa taarifa ni kwamba timu hio ya Simba itaibuka kwa ushindi.

Baadhi ya viongozi wa timu ya Simba wanachama pamoja watanzania kwa ujumla  wanaitakia timu hio kwa ushindi mkubwa.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.