Header Ads

Ben Pol amvisha pete ya uchumba mpenzi wake


Msanii wa muziki Bongo, Benard Paul a.k.a Ben Pol amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Anerlisa Muigai raia wa Kenya.

Ben ameweka wazi kuhusu hatua hiyo kupitia mtandao wa Instagram baada ya kuposti picha akiwa amepiga goti mbele ya mwanadada huyo ikiwa nikiashiria cha safari yao rasmi ya uchumba baada ya mrembo huyo kusema ndiyo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.