Header Ads

Klabu ya chelsea yafanikiwa kurudi nafasi ya nne


Klabu ya Chelsea imefanikiwa kurudi tena katika nafasi 4 za juu katika msimamo wa ligi kuu soka nchini Uingereza baada ya kua nje ya nafasi hizo tangu mwezi February mwaka huu.

Chelsea inarejea katika nafasi ya 3 baada ya kuifunga West Ham magoli 2 kwa bila hapo jana nakufanikiwa kukusanya point 66 huku wakiwa wamecheza michezo 33.

Chelsea iliondolewa katika Top 4 tangu February 27 katika michezo ya Round ya 28 akiwa na point 53 na sasa anarejea akiwa na point 66.

Hata ivyo inaweza ikawa sio nafasi ya kudumu kwake kutokana na idadi ya point alizonanzo pamoja na michezo aliyocheza, na ili kusalia katika nafasi hiyo inabidi kuomba mabaya kwa Tottenham wenye point 64 na Arsenal mwenye point 63 wakiwa wamecheza michezo 32 ⚽ 

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.