Header Ads

Kocha wa Mbao FC afunguka kuikazia Azam FC


Kocha wa timu ya Mbao FC, Salum Mayanga ameeleza kuwa jana  lazima aikazie Azam FC iliyo chini ya kocha Idd Cheche ambaye amekuwa na mwenendo mzuri katika mechi alizocheza hivi karibuni.

"Nimeongoza timu kwenye michezo miwili na yote nimepoteza hii ni mbaya kwangu na kwa timu pia ila leo ni lazima nipambane kupata matokeo mbele ya wapinzani wangu Azam FC," amesema Mayanga.

Mbao wanaingia kwenye mchezo wa leo wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa kwanza kwa kuchapwa mabao 4-0 uliochezwa Uwanja wa Chamazi watamenyana kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.