Header Ads

Magereza ya Mtwara, Masasi na Newala yametembelewa na wanasheria ili kutatua kero zinazowakabili
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju akiwa na Mkurugenz wa Mashtaka (DPP) Bw. Biswalo mganga na wanasheria wengine nje ya Gereza Kuu Lilungu la Mtwara baada ya kulitembelea na kuzungumza na wafungwa na mahabusu walioko ndani ya gereza hilo mjini Mtwara.
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.