Header Ads

Msemaji wa Serikali 'amvaa' Zitto Kabwe kisa Ripoti ya CAG


Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amekiri kuwa vyombo vya habari (magazeti) vilivyoripoti uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na  Zitto Kabwe vimeandikiwa barua, na vimejua na vimekiri kosa.

Aidha, Dk. Abbas amesema kuwa Mbunge huyo wa Kigoma Mjini amekuwa akivipotosha vyombo hivyo kila siku.

Utakumbuka Aprili 14, 2019 Jumapili  iliyopita Zitto Kabwe na Chama anachokiongoza cha ACT Wazalendo walifanya uchambuzi mbele ya vyombo vya habari ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad iliyotolewa hivi karibuni.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.