Header Ads

Ni hatari kufunika chakula kwa mifuko ya plastiki


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Josephat Kakunda amesema zipo athari kubwa za kiafya ikiwemo kupata kansa iwapo mifuko ya Plastiki itatumika kufunikia Chakula ili kisipoe ingawa watu wengi wekuwa wakiitumia mifuko hiyo kufunikia Chakula.

Katika mkutano na wadau wa mifuko ya Plastiki na mifuko mbadala Waziri Kakunda amesema muda uliotolewa kukoma kwa matumizi hayo utazingatiwa hivyo tahadhari inapaswa kuchukuliwa na kila mmoja ili kufanikisha jambo hilo la kisheria.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.