Header Ads

Picha: Rais Magufuli alipotembelea Hospitali ya Rufaa Njombe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisikiliza maelezo yaliokuwa yakitolewa na Dkt. Mkoni kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe kabla ya kuweka jiwe la msingi hospitalini hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiangalia jengo hilo la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.