Header Ads

Picha: Rais Magufuli aweka jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mbinga - Mbamba Bay Mkoani Ruvuma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mbinga mjini mpaka Mbamba Bay km 67, sherehe zilizofanyika Mbinga mkoani Ruvuma. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Alex Mubiru akishuhudia.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.