Header Ads

Picha: Waziri azindua Bandari Kavu kuhifadhi magari 1,000


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Eng. Isaack Kamwelwe, amezindua rasmi Bandari Kavu ya Kitopeni kwa ajili ya kuhifadhia magari.

Bandari hiyo iliyofanyiwa ukarabati mkubwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) itakuwa na uwezo wa kuhifadhi magari yapatayo 1,000 kwa wakati mmoja.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.