Header Ads

Picha: Waziri Majaliwa amuwakilisha Rais Magufuli katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Rwanda


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana Mawazo na Rais Mstaafu wa Naigeria Olusegun. Obasanjo walipo kutana leo Aprili 7/2019 katika Mji wa Kigali wakati waziri Mkuu alipokuwa anamuwakilisha Rais Dr John Magufuli katika kumbumbu ya miaka 25 ya mauji ya kimbari yaliyotokea 1994.
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.