Header Ads

Picha:Kasi kubwa inaendelea kuimarisha mpaka wa Tanzania na Kenya


Kazi ya uimarishaji mpaka wa Tanzania na Kenya kuanzia eneo la Ziwa Natroni katika wilaya ya Ngorongoro hadi Namanga wilaya ya Longido mkoani Arusha inaendelea kwa kasi kubwa na sasa ukaguzi kwa ajili ya kuimarisha mpaka huo umekamilikaGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.