Header Ads

Queen Darleen atoa mtazamo wake kwa baba yake kisa hiki


Msanii wa Muziki kutoka lebo ya WCB, Queen Darleen ametoa mtazamo wake baada ya wimbo alioshirikishwa baba yake Mzee Abduli kusambaa mitandaoni.

 Darleen amesema kuwa Baba yake ana vionjo vizuri ya muziki na anamuombea afanye vizuri zaidi kama ana ndoto hizo.

"Baba angu ana vionjo vya muziki, ,Mungu amjaalie aendelee hivyo hivyo kama na ndoto hizo afanye vizuri zaidi na zaidi lakini katika support anayoisema hajawahi kusema kama anataka kufanya muziki sisi hajawahi kutuambia na kama angesema why asisaidiwe," alisema Queen akiongea na Wasafi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.