Header Ads

Rais Magufuli atengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya nyasa Mkoani Ruvuma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt. Oscar Albano Mbyuzi.Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.