Header Ads

Simba SC kucheza mechi 8 kwa siku 19


Simba SC inatakiwa kucheza mechi 8 ndani ya siku 19, ukiwa ni wastani wa mechi 1 kila baada ya siku mbili (siku za kusafiri hazijajumuishwa). Simba ina viporo vya mechi 11 kwenye Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL).

Hata hivyo Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amekosoa ratiba hiyo akisema si yenye tija, na haijali afya za wachezaji.

Leo Simba SC itakuwa mgeni wa Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga kwenye mcheo wa Ligi Kuu. Hadi sasa timu hiyo ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi ikitanguliwa na Yanga SC na Azam FC.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.