Header Ads

Simba SC washushiwa kipigo na TP Mazembe, watupwa nje ya michuanoMchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliowakutanisha TP Mazembe na Simba SC umemalizika kwa TP Mazembe kufanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya Mabingwa Afrika.

TP Mazembe wakiwa nyumbani kwao DC Congo wamuibuka na ushindi wa goli 4-1.Simba SC ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa Emmanuel Okwi kunako dakika ya pili, TP Mazembe
walisawazisha goli hilo dk ya 22 kupia Kabaso Chongo. Magoli mengine ya TP Mazembe yamefungwa na Meschack Elia, Trésor Mputu na Jackson Muleka.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.