Header Ads

Tanasha wa Diamond afuata Nyayo za Hamissa Mobetto..Atangaza Kuwapa watu Supraise

Tanasha wa Diamond afuata Nyayo za Hamissa Mobetto..Atangaza Kuwapa watu Supraise ya kuachia Video ya ngoma yake mpya.....

Ameandika Haya katika ukurasa wake wa Instagram:


Tanasha kutoka Kenya ni Mpenzi wa  Mwanamuziki Diamond kwa sasa, Hatua ya kuingia katika muziki inaonyesha ni kufuata nyayo za Hamisa Mobetto ambae nae pia alikuwa mpenzi wa Diamond, Hamisa Mpaka sasa ameshatoa nyimbo mbili ambazo zinasumbua mtaani

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.