Header Ads

Treni Ya Mizigo Yapinduka Morogoro

Treni Ya Mizigo Yapinduka Morogoro
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinasma treni ya mizigo iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam imepinduka karibu na karakana Morogoro na kupelekea abiria waliokuwa wakisafiri kwa kutumia treni ya abiria kutoka Dar es Salaam na kutoka Kigoma kukwama kwenye eneo hilo.

Hata hivyo kutokana na kuharibika kwa njia ya treni abiria wamefaulishwa kwa kubadilishana treni na kuendelea na safari

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.