Header Ads

Usilolijua kuhusu Nandy na Marehemu Ruge


Msanii wa Bongo Fleva, Nandy  ameonyesha bado ameshindwa ku move on kutokana na kufiwa na aliyekuwa rafiki yake na Boss wa Clouds Media Marehemu Ruge Mutahaba.

Kupitia Insta story Nandy amepost Nyumba iliyokuwa mwanzoni anajengewa na Ruge huku pia akionyesha alivyommiss.

Hizi ndio Insta story aliyoweka Nandy;
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.