Header Ads

Vijana 260 wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali Lindi


Vijana 260 kutokea katika kata za Nkowe, Nandagala na Mandalawe wilayani Ruangwa mkoani Lindi wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo ili kuweza kujikwamua kiuchumi.

Mafunzo hayo yaliotolewa na mtandao wa mashirika yasio ya kiserikali Ruangwa, MMAKIRU yamelenga kutekeleza sera ya maendeleo ya vijana ya mwaka 2007 ya kuundwa kwa majukwa ya vijana ikiwa ni pamoja na kumjenga kijana aweze kujiajiri badala ya kukaa na kusingizia kutokuwapo kwa ajira ili kukuza uchumi wa kaya na Taifa kwa ujumla.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.